Bima dhidi ya madhara yanayotokana na uhalifu wa ndovu nchini Kenya na Sri Lanka

Project flyer
, 6 pages
PDF (1.8 MB)
16642KIIED.pdf
Language:
English, Sinhala, Swahili
Published: November 2018
Area(s):
Product code:16642IIED

Mradi huu utawezesha masoko binafsi kuwapa bima wakulima wadogo nchini Kenya na Sri Lanka kutokana na uharibifu unaosababishwa na migogoro kati ya wanyamapori na wakaazi hasa kutoka kwa tembo. Pia itaunga mkono bima katika nchi mbili - Kenya na Sri Lanka - ambapo migogoro kati ya wanyamapori na wakaazi ni tishio kubwa kwa maisha na mazingira. Wauzaji wa bima binafsi kutoka nchi hizi mbili pia wana tamanio na lengo la kujaza pengo la ukosaji wa bima kwenye soko ya nchi zote mbili.

Cite this publication

(2018). Bima dhidi ya madhara yanayotokana na uhalifu wa ndovu nchini Kenya na Sri Lanka. .
Available at https://www.iied.org/sw/16642KIIED