Muongozo / zana ya sauti ya pamoja katika kuimarisha ustahimilivu wa mabadiliko ya hali ya hewa na tabia nchi
Toolkit
, 80 pages
PDF (3.83 MB)
Language:
English, Swahili
Published: September 2020
Area(s):
ISBN: 9781784318123
Product code:10204IIED
Zana ya Sauti ya Pamoja inatoa mbinu rahisi na yenye gharama nafuu katika kubainisha vipaumbele vya wanawake na vijana katika kukabiliana na mabadiliko ya hali ya hewa na tabia nchi kwa kutumia njia shirikishi. Zana hii imetengenezwa ili iweze kutumiwa na serikali za mitaa, mashirika/taasisi za kijamii zenye malengo ya kutaka kuelewa, kuwakilisha na kujumuisha vipaumbele katika kupanga mipango ya maendeleo.
Cite this publication
Pertaub, D., Greene, S., Kagashe, A., Sutz, P., Clamian, T. and Alakara, S.
(2020).
Muongozo / zana ya sauti ya pamoja katika kuimarisha ustahimilivu wa mabadiliko ya hali ya hewa na tabia nchi.
.
Available at https://www.iied.org/sw/10204kiied
Available at https://www.iied.org/sw/10204kiied